Life in Korogocho Slums in Nairobi Hapana muchezo. Lakini kwa hiyo village wako watu na brain za ajabu. Wapo watu wasanii wa hatari-categories zote. Wako watu huko wapiga chang'aa mpaka Basi. Lakini kitu ya ajabu, wala, hawana shida. Wala hawana habari ya dunia vile inakwenda, noW Wao wako busy na maisha zao....